NEXT CHAPTER · APP PREVIEW

Mbuku ya
Sir God.
Kwa life yako.

Life iko na mengi. Pata pause na Neno kwa Sheng — reading fupi, swali ya ukweli, na hatua moja ya leo.

Cheki Journeys

New look inakuja. App ya sasa iko kwa stores

BIBLE MTAANI · JOURNEYPressure ikipanda
Preview ya Today: passage ya leo na Journey ya Pressure ikipanda.
Hatua moja.
Leo kwanza.
FROM THE APP REDESIGN
Neno kwa Sheng.Space ya kufikiria.Hatua kwa life.

JOURNEYS · PREVIEW

Life iko aje
saa hii?

Pressure, kuanza tena, ama kuachilia. Chagua mahali uko, uanze hapo.

NDANI YA JOURNEY

Hauhitaji kubeba kila kitu solo.

Rent, job, familia, kesho. Sometimes kila kitu inakuja pamoja. Kwa siku tano, chukua pause na Biblia. Tambua kinachokubana, omba kwa ukweli, na shika hatua moja ya leo.

  1. 01Shika leo kwanza
  2. 02Pata pause kidogo
  3. 03Sema vile iko
  4. 04Usibebe solo
  5. 05Tembea polepole
DRAFT · PART 1 PREVIEW3 min

Shika leo kwanza

Mathayo 6:25–34

Yesu anasema: Msibebeshwe na worry ya mtakula nini, mtakunywa nini, au mtavaa nini. Baba yenu anajua mnahitaji hivi vitu. Tafuteni kwanza ufalme wake na kuishi kwa haki yake. Msibebe worry ya kesho leo; kila siku ina mambo yake.

Draft ya Sheng paraphrase · si translation ya neno kwa neno

JICHECK KIDOGO

Ni worry gani ya kesho nimebeba leo?

HATUA YA LEO

Andika kinachokubana. Chini yake, andika hatua moja tu unayoweza kuchukua leo. Ianze ukiweza.

Session ya Shika leo kwanza kwenye app: passage, reflection na hatua ya leo.PREVIEW · PART 1

Usome.
Utafakari.
Uishi.

01

Soma kitu yenye iko na maana.

Passage fupi, na context ya kukusaidia kuielewa.

02

Jicheck bila pressure.

Swali moja. Andika vile iko — hii space ni yako.

03

Beba hatua moja.

Kitu unaweza kujaribu leo. Ukirudi, endelea ulipofika.

Sheng + English.
Pamoja.

Chukua muda na kifungu. Compare na English, adjust text size, weka bookmark, na urudi ulipofika.

  • Vitabu na chapters zilizopo kwa app
  • Bookmarks na notes zako kwa Library

Translation bado inaendelea. Sio kila book na chapter iko available.

Saidia translation
Soma kwa pace yako.
Bible reader preview, John 3: Sheng pamoja na English na bookmark.

Maswali?
Tuko pamoja.

Tuandikie
Hii app mpya iko ready?

Bado. Hizi screenshots ni preview ya redesign tunayobuild. Links za App Store na Google Play zinafungua version ya sasa; Journeys na design hii bado hazijareleaseiwa.

Journey ni nini?

Ni readings fupi zenye topic moja. Kila Part ina passage, reflection, swali la kujicheck, hatua ya kujaribu na prayer. Unaweza kuendelea na pace yako.

Hii ndiyo Biblia yote kwa Sheng?

Bado si Biblia yote. Content inaongezwa. Chagua vitabu na chapters zilizopo kwa app; usichukulie kila book au chapter iko available.

Naweza kusaidia translation?

Unaweza. Link ya Saidia translation hapa chini inakupeleka kwa form yetu. Ukiona issue kwa verse, unaweza kuireport ndani ya reader ama ututumie email.

Leo ni place
poa ya kuanza.

Redesign iko njiani. Unaweza kupata app ya sasa kwa iPhone na Android.

Screenshots na Journeys za page hii ni preview. Version ya sasa kwa stores inaweza kuwa tofauti.